Font Size
Marko 4:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 4:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
22 Hali kadhalika, kila kilichofichwa kitatolewa hadharani; na kila siri itafichuliwa. 23 Mwenye nia ya kusikia, na asikie.”
24 Akaendelea kuwaambia, “Myaweke maanani haya mnayosikia. Kipimo mnachotumia kwa wengine ndicho kitakachotumiwa kuwapima na ninyi, hata na zaidi.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica