Font Size
Marko 4:39-41
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 4:39-41
Neno: Bibilia Takatifu
39 Akaamka, akaukemea ule upepo, akaiambia ile bahari, “Kaa kimya! Tulia!” Ule upepo ukatulia, kukawa shwari.
40 Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kwa nini mnaogopa? Je, bado hamna imani?”
41 Lakini wao walikuwa wamejawa na hofu wakaulizana, “Ni nani huyu ambaye hata upepo na mawimbi vinamtii?”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica