Font Size
Marko 8:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 8:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
17 Yesu alifahamu majadiliano yao, akawauliza: “Mbona mna zungumzia kuhusu kutokuwa na mikate? Bado hamtambui wala kuelewa? Je, mbona mioyo yenu ni migumu kiasi hicho? 18 Mbona mna macho lakini mnashindwa kuona, na masikio lakini mnashindwa kusikia? Je hamkumbuki? 19 Nilipoimega mikate mitano kuwalisha watu elfu tano, mlikusanya mabaki vikapu vingapi?” Wakamjibu, “Kumi na viwili.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica