Font Size
Marko 9:27-29
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 9:27-29
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
27 Lakini Yesu akamshika yule mvulana mikononi, na kumwinua naye akasimama.
28 Baada ya Yesu kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuuliza wakiwa peke yao, “Kwa nini sisi hatukuweza kumfukuza pepo yule?”
29 Naye akawaambia, “Aina hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa maombi.”[a]
Read full chapterFootnotes
- 9:29 maombi Nakala zingine za Kiyunani zina “maombi na kufunga”.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International