28 Walipokwisha kuingia ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamwuliza wakiwa peke yao, “Mbona sisi hatukuweza kumtoa huyo pepo?” 29 Yesu akawajibu, “Pepo wa aina hii hawezi kutoka isi pokuwa kwa maombi.”

Yesu Azungumzia Tena Kifo Chake

30 Wakaondoka mahali hapo, wakapitia Galilaya. Yesu haku taka mtu ye yote afahamu walipokuwa

Read full chapter