Add parallel Print Page Options

29 Naye akawaambia, “Aina hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa maombi.”[a]

Yesu Azungumza Kuhusu Kifo Chake

(Mt 17:22-23; Lk 9:43-45)

30 Wakaondoka mahali pale na kusafiri kupitia Galilaya. Yesu hakutaka mtu yeyote kujua walikuwa huko, 31 alitaka kuwafundisha wanafunzi wake peke yake. Na Yesu akawaambia, “Mwana wa Adamu atasalitiwa na kuwekwa mikononi mwa watu wengine, nao watamwua. Kisha siku tatu baada ya kuuawa atafufuka.”

Read full chapter

Footnotes

  1. 9:29 maombi Nakala zingine za Kiyunani zina “maombi na kufunga”.