Font Size
Marko 9:36-38
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 9:36-38
Neno: Bibilia Takatifu
36 Kisha akamchukua mtoto mdogo akamweka mbele yao, akamkumbatia akawaambia, 37 “Mtu ye yote amkaribishaye mmoja wa hawa watoto wadogo, ananikaribisha mimi. Na ye yote anayenikaribisha mimi anamkaribisha Baba yangu ali yenituma.”
Kutumia Jina La Yesu
38 Yohana akamwambia, “Mwalimu, tumemwona mtu akitoa pepo kwa jina lako tukamzuia kwa sababu yeye si mmoja wetu.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica