Font Size
Marko 9:37-39
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 9:37-39
Neno: Bibilia Takatifu
37 “Mtu ye yote amkaribishaye mmoja wa hawa watoto wadogo, ananikaribisha mimi. Na ye yote anayenikaribisha mimi anamkaribisha Baba yangu ali yenituma.”
Kutumia Jina La Yesu
38 Yohana akamwambia, “Mwalimu, tumemwona mtu akitoa pepo kwa jina lako tukamzuia kwa sababu yeye si mmoja wetu.” 39 Yesu akasema, “Msimzuie, ye yote atendaye miujiza kwa jina langu kwani hawezi kunigeuka mara moja na kunisema vibaya.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica