Font Size
Marko 9:39-41
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 9:39-41
Neno: Bibilia Takatifu
39 Yesu akasema, “Msimzuie, ye yote atendaye miujiza kwa jina langu kwani hawezi kunigeuka mara moja na kunisema vibaya. 40 Kwa maana ye yote ambaye si adui yetu yuko upande wetu. 41 Ninawahakikishia kwamba mtu atakayewapa japo maji ya kunywa kwa kuwa ninyi ni wafuasi wangu, atapewa tuzo.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica