Font Size
Marko 9:46-48
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 9:46-48
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
46 [a] 47 Na kama jicho lako litakusababisha ufanye dhambi, liondoe. Ni bora uingie katika Ufalme wa Mungu ukiwa na jicho moja kuliko kuwa nayo macho mawili na kutupwa Jehanamu, 48 ambapo waliomo watatafunwa na funza wasiokufa na kuchomwa na moto usiozimika kamwe.(A)
Read full chapterFootnotes
- 9:46 Nakala zingine za Kiyunani zinaongeza mstari wa 46, ambao ni sawa na mstari 48.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International