Font Size
Matayo 10:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 10:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Kila nyumba mtakay oingia, toeni salamu. 13 Kama watu wa nyumba hiyo wanastahili, amani yenu na ikae kwao; na kama hawastahili, amani yenu itawaru dia ninyi. 14 Na kama mtu ye yote akikataa kuwapokea au kusiki liza maneno yenu, mtakapoondoka katika nyumba hiyo au mji huo, kung’uteni mavumbi yatakayokuwa miguuni mwenu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica