Majina ya hao wanafunzi kumi na wawili ni haya: wa kwanza, Simon, ambaye aliitwa Petro, na Andrea ndugu yake; Yakobo, mwana wa Zebedayo na Yohana ndugu yake; Filipo na Bartholomayo; Tomaso na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo; Simoni Mkanaani; na Yuda Iskariote ambaye baadaye alimsaliti Yesu.

Read full chapter