Simoni Mkanaani; na Yuda Iskariote ambaye baadaye alimsaliti Yesu. Yesu aliwatuma hawa kumi na wawili, akawaagiza, “Msiende kwa watu wa mataifa wala msiingie mji wo wote wa Wasamaria. Bali waendeeni kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea.

Read full chapter