Font Size
Matayo 10:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 10:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
7 Na mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa mbinguni umekaribia; 8 Waponyeni wagonjwa, wafufueni wafu, watakaseni wenye ukoma, wafukuzeni pepo. Mmepo kea bure, toeni bure. 9 Msichukue dhahabu, wala fedha wala sarafu za shaba katika mikanda yenu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica