Font Size
Matayo 10:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 10:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
8 Waponyeni wagonjwa, wafufueni wafu, watakaseni wenye ukoma, wafukuzeni pepo. Mmepo kea bure, toeni bure. 9 Msichukue dhahabu, wala fedha wala sarafu za shaba katika mikanda yenu. 10 Msichukue mikoba ya safari, wala koti la pili, wala viatu, wala fimbo: kwa maana mfanyakazi anastahili riziki yake.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica