Font Size
Matayo 12:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 12:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
17 Hii ilikuwa ili yatimie maneno aliyosema nabii Isaya: 18 “Mtazameni mtumishi wangu niliyemchagua, mpendwa wangu ambaye moyo wangu unapendezwa naye. Nitaweka Roho yangu juu yake , naye atatangaza haki kwa watu wa mataifa. 19 Hatabishana wala hatapiga kelele, sauti yake haitasikika mitaani.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica