Font Size
Matayo 12:46-48
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 12:46-48
Neno: Bibilia Takatifu
Ndugu Wa Yesu
46 Wakati alipokuwa akizungumza na watu, mama yake na ndugu zake walisimama nje wakataka kuongea naye. [ 47 Mtu mmoja akam wambia, “Mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kuon gea na wewe.”] 48 Lakini akamjibu yule mtu aliyemwambia, “Mama yangu ni nani, na ndugu zangu ni nani?”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica