Font Size
Matayo 19:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 19:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
5 akawaambia, ‘Kwa sababu hii mtu atamwacha baba yake na mama yake na aambatane na mkewe; na hao wawili wata kuwa mwili mmoja’? 6 Kwa hiyo hawawi wawili tena, bali ni mwili mmoja. Kwa hiyo alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitengan ishe.”
7 Wakamwuliza, “Kwa nini basi Musa aliagiza kwamba mtu anaweza kumpa mkewe hati ya talaka na kumwacha?”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica