Font Size
Matayo 19:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 19:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
9 Nami nawaambieni, mtu ye yote anayemwacha mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, akaoa mke mwingine, anazini.” [“Na mtu anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka pia anazini.”]
10 Wanafunzi wake wakamwambia, “Kama hivi ndivyo hali ilivyo kati ya mume na mke, basi ni afadhali mtu asioe!” 11 Yesu akajibu, “Si kila mtu anaweza kupokea mafundisho haya isipokuwa wale ambao Mungu amewajalia.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica