Font Size
Matayo 26:56-58
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 26:56-58
Neno: Bibilia Takatifu
56 Lakini haya yametokea ili Maandiko ya manabii yatiimie.” Ndipo wana funzi wake wote wakamwacha, wakakimbia.
Yesu Ashtakiwa Mbele Ya Baraza
57 Wale waliomkamata Yesu wakampeleka nyumbani kwa Kayafa, kuhani mkuu, ambapo walimu wa sheria pamoja na wazee walikuwa wamekutanika.
58 Lakini Petro alimfuata kwa mbali mpaka uani kwa kuhani mkuu akaingia ndani pamoja na walinzi aone litakalotokea.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica