Font Size
Matayo 26:70-72
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 26:70-72
Neno: Bibilia Takatifu
70 Lakini Petro akakana mbele yao wote akisema, “Sijui usemalo.”
71 Kisha alipotoka nje, mlangoni mtumishi mwingine wa kike alimwona, akawaambia watu waliokuwapo, “Huyu mtu alikuwa pamoja na Yesu Mnazareti.” 72 Akakana tena kwa kiapo akisema, “Simfa hamu mtu huyo!”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica