Font Size
Matayo 27:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 27:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
4 akawaambia, “Nimetenda dhambi kwa maana nimem saliti mtu asiye na hatia.” Wakamjibu, “Hilo latuhusu nini sisi? Ni shauri yako.”
5 Basi Yuda akazitupa zile fedha Hekaluni, akaondoka; akaenda akajinyonga.
6 Wale makuhani wakuu wakazichukua zile fedha wakasema, “Si halali kuchanganya fedha hizi na sadaka kwa sababu hizi ni fedha zenye damu.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica