Font Size
Matayo 4:24-25
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 4:24-25
Neno: Bibilia Takatifu
24 Kwa hiyo sifa zake zilienea sehemu zote za Siria. Nao wakamletea wagonjwa wote, waliosumbu liwa na maradhi mbalimbali na maumivu, watu waliopagawa na mashe tani, wenye kifafa na waliopooza, naye akawaponya.
25 Umati mkubwa wa watu ukamfuata kutoka Galilaya, Dekapoli, Yerusalemu, Yudea na kutoka ng’ambo ya mto Yordani.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica