Font Size
Matayo 5:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 5:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 “Ninyi ni chumvi ya ulimwengu. Lakini chumvi ikipoteza ladha yake, haiwezekani kuwa chumvi tena. Haifai kwa kitu cho chote, ila kutupwa nje ikanyagwe na watu.
14 “Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa kwenye mlima haufichiki. 15 Wala hakuna mtu anayewasha taa kisha akaifunika. Badala yake, huiweka mahali pa juu ili itoe mwanga kwa kila mtu aliyemo ndani ya nyumba.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica