Font Size
Matayo 5:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 5:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
16 Hali kadhalika, nuru yenu iwaangazie watu ili waone matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbin guni.’
Mafundisho Kuhusu Sheria
17 “Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria ya Musa na mafundisho ya manabii. kwamba mpaka mbingu na dunia zitaka potoweka, hakuna hata herufi moja ya sheria itakayopotea mpaka shabaha yake ikamilike. 18 Kwa maana ninawaambia hakika Lakini atakayetii amri hizi na kuwafundisha wengine kuzitii a taitwa mkuu katika Ufalme wa mbinguni.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica