Font Size
Matayo 5:29-31
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 5:29-31
Neno: Bibilia Takatifu
29 Jicho lako la kulia likikufanya utende dhambi, ling’oe ulitu pilie mbali. Ni afadhali upoteze sehemu ya mwili wako kuliko mwili mzima utupwe Jehena. 30 Na kama mkono wako wa kuume ukiku fanya utende dhambi, ukate uutupilie mbali. Ni afadhali upoteze sehemu ya mwili wako kuliko mwili mzima utupwe Jehena.
31 “Pia mliambiwa kwamba, ‘Mtu ye yote anayemwacha mkewe ampe talaka.’
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica