Font Size
Matayo 5:30-32
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 5:30-32
Neno: Bibilia Takatifu
30 Na kama mkono wako wa kuume ukiku fanya utende dhambi, ukate uutupilie mbali. Ni afadhali upoteze sehemu ya mwili wako kuliko mwili mzima utupwe Jehena.
31 “Pia mliambiwa kwamba, ‘Mtu ye yote anayemwacha mkewe ampe talaka.’ 32 Lakini mimi nawaambia, ye yote atakayempa mkewe talaka isipokuwa kwa kosa la uasherati, anamfanya mkewe mzinzi. Na ye yote atakayemwoa mwanamke aliyepewa talaka anazini.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica