Font Size
Matayo 6:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 6:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
28 “Na kwa nini mnahangaikia mavazi? Angalieni maua ya mwi tuni yanavyostawi. Hayafanyi kazi wala hayashoni nguo. 29 Lakini nawaambia, hata mfalme Sulemani katika ufahari wake wote hakuwahi kuvikwa kama mojawapo la maua hayo. 30 Lakini ikiwa Mungu anay avisha hivi maua ambayo leo yapo na kesho yanatupwa motoni, je, hatawavisha ninyi vizuri zaidi, enyi watu wenye imani haba?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica