Font Size
Matayo 7:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 7:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Usihukumu Wengine
7 Usihukumu ili na wewe usihukumiwe. 2 Kwa maana hukumu uta kayotamka juu ya wenzako ndio itakayotumiwa kukuhukumu, na kipimo utakachotoa ndicho utakachopokea.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica