Font Size
Matayo 7:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 7:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
Omba, Tafuta, Bisha Hodi
7 “Ombeni nanyi mtapewa. Tafuteni nanyi mtapata; bisheni hodi nanyi mtafunguliwa mlango. 8 Kwa sababu kila aombaye hupewa; naye atafutaye hupata; na abishaye hodi atafunguliwa mlango.
9 “Au ni nani kati yenu ambaye kama mwanae akimwomba mkate atampa jiwe?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica