Font Size
Matendo 4:17-19
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Matendo 4:17-19
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
17 Lakini ni lazima tuwatishe ili wasiendelee kuwaambia watu kutumia jina lile.[a] Ili tatizo hili lisisambae miongoni mwa watu.”
18 Hivyo viongozi wa Kiyahudi wakawaita Petro na Yohana ndani tena. Wakawaambia wasiseme wala kufundisha kitu chochote kwa kutumia jina la Yesu. 19 Lakini Petro na Yohana wakawajibu, “Mnadhani kipi ni sahihi? Mungu angetaka nini? Je, tunapaswa kuwatii ninyi au tumtii Mungu?
Read full chapterFootnotes
- 4:17 jina lile Yaani, jina la Yesu. Viongozi wa Kiyahudi walikwepa kutamka jina lake. Tazama Lk 15:2 na Mdo 5:28.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International