Font Size
Matendo Ya Mitume 14:24-26
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 14:24-26
Neno: Bibilia Takatifu
24 Basi wakapitia Pisidia wakafika Pamfilia. 25 Na baada ya kufundisha neno la Mungu huko Perga, walikwenda upande wa kusini hadi Atalia. 26 Kutoka huko wakasafiri kwa mashua mpaka Anti okia, ambako walikuwa wameombewa neema ya Mungu kwa kazi ambayo walikuwa wameikamilisha.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica