Font Size
Matendo Ya Mitume 4:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 4:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 Lakini kwa kuwa walimwona yule kilema aliyeponywa ame simama nao hawakuweza kusema lo lote kupinga maneno yao. 15 Wakawaamuru watoke nje ya ule ukumbi. 16 Kisha wakaanza kuulizana, “Tuwafanye nini watu hawa? Hatuwezi kukanusha muujiza huu mkubwa walioufanya ambao ni dhahiri kwa kila mtu Yerusalemu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica