Font Size
Matendo Ya Mitume 4:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 4:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
22 Na yule mtu aliyeponywa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka arobaini.
23 Mara Petro na Yohana walipoachiliwa, walirudi kwa waamini wenzao wakawaeleza waliyoambiwa na makuhani wakuu na wazee. 24 Waamini wote waliposikia maneno yao walimwomba Mungu kwa pamoja wakasema, “Wewe Bwana Mtukufu, uliyeumba mbingu na nchi na bahari na kila kiumbe kilichopo,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica