Font Size
Matendo Ya Mitume 4:25-27
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 4:25-27
Neno: Bibilia Takatifu
25 wewe ulitamka kwa njia ya Roho wako mtakatifu kupitia kwa baba yetu Daudi mtumishi wako, aliposema, ‘Mbona mataifa wanaghadhabika, na watu wanawaza mambo yasiyo na maana? 26 Wafalme wa dunia wamejiandaa na watawala wamekusanyika wampinge Bwana na Masihi wake.’ 27 Ndiyo sababu katika mji huu Herode na Pontio Pilato walikutana na Waisraeli wote na watu wa mataifa juu ya mtumishi wako mtakatifu Yesu,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica