Font Size
Matendo Ya Mitume 4:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 4:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
27 Ndiyo sababu katika mji huu Herode na Pontio Pilato walikutana na Waisraeli wote na watu wa mataifa juu ya mtumishi wako mtakatifu Yesu, 28 wakaamua kumfanyia yale yote ambayo wewe ulikuwa umekusudia tangu awali na kupanga kwa uweza wako yatendeke.
29 “Sasa Bwana, sikia vitisho vyao na utuwezeshe sisi wat umishi wako kuhubiri neno lako kwa ujasiri mkuu;
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica