Add parallel Print Page Options

10 Hezekia alikuwa baba yake Manase.

Manase alikuwa baba yake Amoni.

Amoni alikuwa baba yake Yosia.

11 Yosia alikuwa baba wa Yekonia[a] na ndugu zake.

Walioishi wakati ambao watu walipelekwa utumwani Babeli.

12 Baada ya uhamisho wa Babeli,

Yekonia akawa baba yake Shealtieli.

Shealtieli alikuwa babu wa Zerubabeli.

Read full chapter

Footnotes

  1. 1:11 baba wa Yekonia Mfalme Nebukadneza aliuangusha mji wa Yerusalemu na kuvunja hekalu mwaka 586 KK na kuwapeleka Babeli wakiwa mateka watu Mashuhuri pamoja na vyombo vya thamani vilivyokuwa hekaluni. Tazama 1 Nya 3:15-16.