Add parallel Print Page Options

14 Lakini Mafarisayo waliondoka na wakaweka mipango ya kumuua Yesu.

Yesu ni Mtumishi Aliyechaguliwa na Mungu

15 Yesu alitambua kuwa Mafarisayo walikuwa wanapanga kumuua. Hivyo aliondoka mahali pale na watu wengi walimfuata. Akawaponya wote waliokuwa wagonjwa, 16 lakini aliwaonya wasiwaambie wengine yeye alikuwa nani.

Read full chapter