Add parallel Print Page Options

23 Watu wote walikishangaa kile Yesu alichotenda. Walisema, “Pengine ni Mwana wa ahadi wa Daudi!”

24 Mafarisayo waliposikia hili, walisema, “Mtu huyu anatumia nguvu za Shetani[a] kufukuza mashetani kutoka kwa watu. Beelzebuli ni mtawala wa mashetani.”

25 Yesu alijua kile Mafarisayo walikuwa wanafikiri. Hivyo akawaambia, “Kila ufalme unaopigana wenyewe utateketezwa. Na kila mji au familia iliyogawanyika haiwezi kuishi.

Read full chapter

Footnotes

  1. 12:24 Shetani Jina la Mwovu lenye maana “Adui”. Kwa maana ya kawaida, “Beelzebuli” kwa Kiyunani (mwovu). Pia katika mstari wa 27.