Add parallel Print Page Options

Heri kwa wenye huzuni sasa.
    Kwa kuwa watafarijiwa na Mungu.
Heri kwa walio wapole.
    Kwa kuwa watairithi nchi.[a]
Heri kwa wenye kiu na njaa ya kutenda haki.[b]
    Kwa kuwa Mungu ataikidhi kiu na njaa yao.

Read full chapter

Footnotes

  1. 5:5 watairithi nchi Wataurithi ulimwengu ujao yaani ufalme wa Mungu unaokuja.
  2. 5:6 wenye kiu na njaa ya kutenda haki Kwa maana ya kawaida, “wenye njaa na kiu ya kutenda haki zaidi ya kitu kingine chochote”.