Add parallel Print Page Options

41 Askari akikulazimisha kwenda naye maili moja,[a] nenda maili mbili pamoja naye. 42 Mpe kila anayekuomba, usimkatalie anayetaka kuazima kitu kwako.

Wapende Adui Zako

(Lk 6:27-28,32-36)

43 Mmesikia ilisemwa kuwa, ‘Wapende rafiki zako(A) na wachukie adui zako.’

Read full chapter

Footnotes

  1. 5:41 maili moja Kama kilomita moja na nusu.