Font Size
Mathayo 5:9-11
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 5:9-11
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
9 Heri kwa wanaotafuta amani.[a]
Kwa kuwa wataitwa watoto wa Mungu.
10 Heri kwa wanaoteswa kwa sababu ya kutenda haki.
Kwa kuwa ufalme wa Mungu ni wao.
11 Heri kwenu ninyi pale watu watakapowatukana na kuwatesa. Watakapodanganya na akasema kila neno baya juu yenu kwa kuwa mnanifuata mimi.
Read full chapterFootnotes
- 5:9 wanaotafuta amani Au “wapatanishi wa watu waliofarakana”.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International