67 Kisha wakamtemea mate usoni; wengine wakampiga ngumi na makofi,

Read full chapter

68 wakasema, “Hebu toa unabii wewe Kristo! Ni nani ame kupiga?”

Read full chapter