Font Size
Tito 3:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Tito 3:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
7 Kwa neema yake Mungu alituweka huru mbali na dhambi.
Akatufanya kuwa warithi wake tulio na tumaini la uzima wa milele.
8 Huu ni usemi wa kuaminiwa. Nawataka ninyi kuyasisitiza mambo haya, ili wale waliokwisha kumwamini Mungu waweze kujitoa katika matendo mema. Mambo haya ni mazuri na ya kuwanufaisha watu.
9 Lakini yaepuke mabishano ya kipumbavu, majadiliano kuhusu koo, mabishano na ugomvi kuhusu Sheria, maana hayana faida na hayafai.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International