Font Size
Tito 3:8-10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Tito 3:8-10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
8 Huu ni usemi wa kuaminiwa. Nawataka ninyi kuyasisitiza mambo haya, ili wale waliokwisha kumwamini Mungu waweze kujitoa katika matendo mema. Mambo haya ni mazuri na ya kuwanufaisha watu.
9 Lakini yaepuke mabishano ya kipumbavu, majadiliano kuhusu koo, mabishano na ugomvi kuhusu Sheria, maana hayana faida na hayafai. 10 Mwepuke mtu anayesababisha matengano baada ya onyo la kwanza na la pili,
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International