23 Na nuru ya taa haitaangaza ndani yako tena; Wala sauti ya bwana harusi na bibi harusi haitasikiwa ndani yako kamwe. Maana wafanya biashara wako walikuwa watu maarufu wa duniani, na mataifa yote yalidanganyika kwa uchawi wako. 24 Na ndani yake ilikutwa damu ya manabii na watakatifu na watu wote waliouawa duniani.”

Read full chapter