Ndipo nikasikia idadi ya wale waliowekewa mihuri, watu 144,000 kutoka katika kila kabila la Waisraeli. Kabila la Yuda, 12,000, kabila la Rubeni 12,000, kabila la Gadi 12,000, kabila la Asheri 12,000, kabila la Naftali 12,000, kabila la Manase 12,000,

Read full chapter