Font Size
Ufunua wa Yohana 8:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 8:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Muhuri Wa Saba
8 Mwana-Kondoo alipofungua muhuri wa saba, mbinguni palikuwa kimya kwa muda upatao nusu saa hivi. 2 Kisha nikawaona wale mal aika saba wanaosimama mbele za Mungu, nao wakapewa tarumbeta saba.
3 Malaika mwingine aliyekuwa na chetezo cha dhahabu, alikuja akasimama mbele ya madhabahu. Akapewa ubani mwingi auchanganye pamoja na sala za watu wote wa Mungu, kwenye madhabahu ya dhahabu iliyo mbele ya kile kiti cha enzi.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica