Font Size
Ufunua wa Yohana 9:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 9:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 Sauti hiyo ikamwambia yule malaika wa sita mwenye tar umbeta, “Wafungulie wale malaika wanne waliofungwa kwenye mto mkubwa wa Efrati.” 15 Basi wakafunguliwa wale malaika wanne waliokuwa wamewekwa tayari kwa ajili ya saa hiyo, na siku hiyo na mwezi huo na mwaka huo, wawaue theluthi moja ya wanadamu. 16 Idadi ya majeshi wapandao farasi ilikuwa milioni mia mbili.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica