Font Size
Ufunua wa Yohana 9:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 9:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
2 Alipolifungua hilo shimo, moshi ulitoka ndani yake kama moshi wa tanuru kubwa sana. Jua na anga vilitiwa giza kwa ajili ya ule moshi uliotoka katika shimo hilo. 3 Kisha, katika ule moshi wakatoka nzige wakatua ardhini. Nao wakapewa nguvu kama nguvu ya nge wa duniani. 4 Waliambiwa wasidhuru nyasi za nchi, wala majani, wala mmea au mti wo wote. Bali wawadhuru wale watu wasiokuwa na muhuri wa Mungu kwenye vipaji vya nyuso zao.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica